18 May 2010Watawala wetu waache magari yao ya kifahari wachekwe?Nchi tajiri lakini viongozi wanaishi kawaida,lakini sie masikini na ombaomba wa kutembeza bakuli viongozi wetu wanaishi kifahari kama wafanyabiashara matajiri.

2 comments:

  1. MMbio za sakafuni huisha ukingoni

    ReplyDelete
  2. Viongozi wa watanzania hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya mazingira waliotegeneza kutokana uongozi kuwa unabariki rushwa hivyo kupelekea huku mtaaani kwetu kuwa siyo sehemu ya amani hivyo wanaogopa kushambuliwa na wananchi wavunja sheri kama vile wezi na waporaji nk...Ingawa sababu kuu za hao wahaalifu wadogo inatokana na wao kuwalinda na kujilinda wahaalifu wakubwa

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.