1 Sept 2010

Kama waliweza kuchakachua kadi zao wenyewe kwenye kura za maoni watashindwaje kufoji za Chadema?Na wameshamgeuza sehemu ya kufanyia mazoezi kuzuga kama anavyotabasamu hapo chini kwa kupewa "two hundred thousand USD za $300,000/="!!!!


2 comments:

  1. Hii ni kali. Tunasubiri undani wake.

    ReplyDelete
  2. chakarika.blogspot.com04/09/2010, 13:19

    Utawala ovyo ovyo mambo na utendaji ovyo ovyo...Viongozi na uongozi shaghala bagala...Bora liende ndiyo mbiu ya CCM kwa vitendo kwa sasa...

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube