



KATIKA KUZURURA KWANGU MTANDAONI NIMEKUTANA NA HABARI IFUATAYO,AMBAYO KAMA ITAKWENDA SAWA BASI INAWEZA KUFUNGUA FURSA KUBWA YA KUWAADABISHA MAFISADI.HEBU ISOME KWANZA,KISHA TUJIULIZE A senior judge in Paris is about to cause the French government serious embarrassment with an investigation into the allegedly stolen wealth of three African presidents who are closely allied to France.
Two previous complaints by an anti-corruption group have been buried under pressure by the French authorities. But the most senior investigating magistrate in Paris, Françoise Desset, has now agreed to investigate the portfolios – from chateâux to Ferraris to multiple bank accounts – owned by the ruling families of Gabon, Equatorial Guinea and Congo-Brazzaville.
President Nicolas Sarkozy, who is close to one of the three accused African leaders, Omar Bongo of Gabon, must decide in the next few days whether to order an appeal against the decision.
The investigation, which could last for many months, follows a formal complaint by a French open government pressure group, Transparence International. Daniel Lèbegue, the organisation's president, said the ruling
by Judge Desset was a "historic decision, which could mean the end of the impunity for corrupt leaders around the globe".
"This is the first time, anywhere in the world, that a judge has recognised the right of a non-governmental organisation to bring a law suit in the names of victims of corruption," he said.
The NGO's legal complaint claims that the three families' wealth "could only have been assembled through the embezzlement of public money". The organisation's lawyer, William Bourdon, said: "Each luxury apartment bought by President Bongo's clan is a public hospital less in Libreville."
Two previous law suits brought by Transparence International were blocked after pressure by the French public prosecutor's office,which is under government control. Judge Desset decided this week that there was a possible case.
According to information leaked to the French newspaper Libération, President Bongo – the longest serving leader in sub-Saharan Africa – has property in France worth tens of millions of euros. He and his family are thought to have 70 different bank accounts, several chateaux and 11 houses and apartments in and around Paris.
They also have a family compound in Nice, extending to three houses, two apartments and a swimming pool. The Bongo family car fleet is said to include two Ferraris and five Mercedes.
The family of President Sassou-Nguesso of Congo-Brazzaville – one of the poorest countries in the world – is estimated by French police to have 11 bank accounts, 13 luxury cars and nine properties in the Paris area. President Obiang of Equatorial Guinea is reported to have a more modest portfolio of a private jet, two luxury cars and a $35m villa in Malibu, California.
M. Bourdon predicted that the state prosecution service would appeal against the judge's decision. "I fear that it will become obvious that the prosecution service is the tool of raison d'etat in France," he said.
If the investigation does go ahead, it could lead to a prosecution of the African leaders but this would be unlikely to succeed without state backing. Transparence International's main objective seems to be to embarrass the three presidents – something that it has already achieved.
President Sassou-Nguesso has dismissed the legal moves against him as an "echo of neocolonialism". In 2007, he said: "Every leader in the world has chateaux and palaces in France, whether they are from the Gulf, from Europe or from Africa."
How a deported `EPA mogul` enjoys Dar`s life 


Taarifa...za ndani zilisema kukubali kwa Max kupanda jukwaani, kunatokana na makubaliano ya faragha baina yake na Malecela kwa niaba ya Kikwete ambaye aliagiza arejeshewe gharama zake za kampeni katika mchakato wa kura za maoni...Kutokana na makubaliano hayo CCM kiliagizwa kusaka fedha za kumrudishia Max ambazo zililetwa na mbunge mmoja wa Kanda ya Magharibi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, ambaye imeelezwa aliingia Geita kimya kimya na kufanya mazungumzo naye.

Mattaka ajiweka kando ATCL
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 16th May 2009
Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka ametangaza kutoiongoza kampuni hiyo kwa miezi sita kutokana na kuteuliwa kuwamiongoni mwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Katika taarifa ya barua hiyo iliyotolewa na ofisi yake kwa wafanyakazi Mei 11, mwaka huu, inaonyesha kuwa Mattaka amelazimikakutofanya kazi ATCL kwa kipindi hicho kutokana na nafasi yake hiyo aliyoteuliwa naWaziri wa Fedha na Uchumi, Aprili 23, mwaka huu kuwamo katika Bodi ya Wakurugenzi ya NIC kazi ambayo zinamtaka awapo wakati wote kazini.
Uteuzi huo sambamba na wa Rais Jakaya Kikwete wa Februari 23, mwaka huu wa kuwamo katika kikosikazi cha kulifufua shirika hilo, Mattaka alisema “Katika nafasi zote nilizoteuliwa zinanitaka nifanye kazi muda wote kuanzia Mei mosi.” Kutokana na nafasi hizo mpya, kwa kipindi cha miezi sita ambayo hatakuwao ATCL, Bodi ya Wakurugenzi imemteua William Haji kukaimu nafasi yake.
“Bodi ya Wakurugenzi imemteua William Haji kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu na CEO kuanzia Mei 8 na wakati huohuo kuendelea na nafasi yake ya Mkurugenzi wa Fedha,” alisema Mattaka. Bodi ya Wakurugenzi ya NIC iliyoanza kazi Mei mosi, inaongozwa na Mwenyekiti Balozi Charles Mutalemwa na wajumbe ni Michael Mhando kutoka Bima ya Afya, Msajili wa Hazina Agnes Bukuku, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kate Bandawe na Charles Kilasile.CHANZO: Habari Leo

YANI TUNAVYOENDESHA MAMBO KIHOLELA UTADHANI TUSHAPIGA HATUA KUJIKWAMUA KIUCHUMI KUMBE WAPI.VICHWA VILIVYOISHIWA MAWAZO NA MBINU ZA KUNUSURU TAASISI ZA UMMA HAVIWEZI KULETA MAPYA YOYOTE VINAVYOZUNGUSHWA KIUSHKAJI KUTOKA TAASIS MOJA KWENDA NYINGINE KANA KWAMBA NI ZA KIFAMILIA.
UMASIKINI WA WATANZANIA (KAMA UNAVYOONYESHWA KATIKA PICHA YA JUU kwa hisani ya Dr Faustine) UNACHANGIWA ZAIDI NA MAFISADI WACHACHE WASIONYIMWA USINGIZI NA MISHANGAO KAMA HIYO YA BALOZI WA SAUZI.HAWANA MUDA WA KUJALI NANI ANASEMA NINI,ALIMRADI VOGUE ZAO (kama katika picha ya mfano hapo chini) ZINAENDELEA KUWAPA UJIKO MTAANI!YALEYALE YA MTU ANAKUPORA MKEO KISHA ANAMPTISHA MBELE YAKO MAKUSUDI KUKURUSHA ROHO!
Na Claud Mshana
Pombe bwana!Huyu si "shoga",ni mwanaume ila tu kinywaji kimemkolea kaamua atinge gauni.Na sijui hiyo pozi kajifunzia wapi!
Huyu "Beyonce Mweupe" anaonyesha ufundi wa kunengua.
Hao si watoto wa shule,na huo "upole" ni sehemu ya kinywaji pia!
"Kwanini Mungu aliwapendelea ng'ombe kuwa na miguu minne na sie wanadamu miguu miwili?"Yaelekea ndio "malalamiko ya muungwana huyo anayetambaa.Au anakumbukia alivyokuwa akitambaa wakati wa utoto?Katika pombe,lolote linawezekana!
Kilio tena!?
Pombe huwafanya wanyonge wajione majabali,only kinywaji kinapoyeyuka kichwani hujikuta wakiwa wanyonge vilevile PLUS majeraha.
"Yes!Nimeweza.Si mlisema siwezi kulibalansi hilo boksi la take-away eti nimelewa?Mbona nimeweza.Watu tumeanza pombe zamani,in fact kabla ya kunyonya maziwa ya mama...teh teh teh"
"Basi nikwambie shoga,mwaka 1978 nili....halafu kabla ya hapo mwaka 1749 nilikuwa....na mwaka huu 2004 nita....".Stori za kilevi hazihitaji kuwa makini na tarehe au muda.Na zinaweza kuendelea milele.Kimsingi huwa haziishi,na mada hubadilika kama bendera na upepo.
" Nahisi kama niko 'leba' mtoto najifungua.Hee nimezaa mtoto wa kiume".Si ajabu huyu akiamka asubuhi anamaizi kuwa kweli "alizaa" lakini mtoto ni "pooh" (ile kitu inayotupeleka msalani).
Duh.Hapa ni ujenzi wa mahekalu hewani
Huyu ashukuru ufanisi wa polisi wa doria wanaosaidiwa na CCTV.Ukaaji huo mitaa ya uswahilini ingeweza kumfanya huyo jamaa kwa siku kadhaa asitoke nyumbani kutokana na aibu.Ni mkao hatari sana!
Hoi!
Ah,nani kasema kitanda lazima kiwe chumbani.Hapa napata 'nepu' ya bure buleshi.
" Hee hawa vipi tena?",dada wa kushoto haamini anachokiona."Ahaaa,ndio mana wanaume wa kiskotishi wanapenda hizo kilt zao wanapokwenda out..." Anazidi kutafakari mdada wa watu.
"Kuanzia leo mto wangu utakuwa tairi..."Chapombe afanya uvumbuzi usiku wa manane.
Huy kibonge sijui anatoa nasaha gani kwa wenzake.Pombe huleta "busara" za ajabu kabisa.