CAUTION:Some explicit words in the clip below
They say Crack is dangerous but these guys don't seem to get it.
Should we feel sorry for this model or just laugh like those guys on telly?
Oh God!!!
Some rules...
And finally,these kids....

Na Waandishi Wetu | |
SOURCE:Majira |
Kwa lugha za Mlimani (UDSM) kilaza ni mtu ambaye shule haipandi.Kwake siku ya seminar presentation ni kama kutoa ushahidi kwenye kesi mahakamani ambayo inaweza kumpelekea kunyongwa.Ratiba ya mtihani ikitoka basi kwake inakuwa kama amepewa ratiba ya kifo chake.Vilaza huwa makini sana katika kuchagua marafiki chuoni hapo,hujitahidi kujiweka karibu na vipanga (kinyume cha vilaza).Kipanga halisi anaweza kuonekana kwenye lectures kwa msimu,muda mwingi anautumia kwa shughuli zake binafsi,na si ajabu kumkuta anakamata kinywaji pale Duso wakati watu wanahangaika library.Ni nadra kuwaona vipanga halisi kwenye discussion groups.Lakini come the UE,vipanga wanaendelea kutesa.Well,hiyo ni Mlimani niliyoiacha 1999.Sijui mambo yakoje kwa sasa.Baadhi ya wachambuzi wa mambo wanamtuhumu Sarah Palin,mgombea mwenza wa John McCain, kuwa huenda ni kilaza na ndio maana amekuwa akikwepa mahojiano ya maana na vyombo vya habari.Zaidi SOMA HAPA

According to the DAILY MAIL
Black farmer quizzed by police THREE times on suspicion of stealing food from his own field
Last updated at 6:13 PM on 22nd September 2008

Hatimaye Thabo Mbeki amejiuzulu urais wa Afrika Kusini kufuatia shinikizo kutoka kwa chama chake cha ANC.Soma HAPA kuhusu rise and fall of Mbeki.Angalia hotuba yake ya kujiuzulu kwa kuBONYEZA HAPA
Baada ya Billy O'Reilly kuwashikia bango hackers walioingia kwenye e-mails za Sarah Palin,hacker mmoja amedai kwamba amemfanyia kweli mwanahabari huyo kimbelembele.Stori zaidi soma HAPA
Baada ya kushinda uongozi ndani ya chama chake cha Kadima,kuna dalili kubwa kwamba Tzipi Livni,shushushu wa zamani wa Mossad,anaweza kuchukua cheo cha Uwaziri Mkuu wa Israel,taifa linalofahamika zaidi kwa ubabe.Historia ndefu ya mwanamama huyu inapatikana HAPA