
5 Feb 2010

2 Feb 2010

22 Jan 2010

HATIMAYE Pascal Mnaku, mlinzi wa kampuni ya Ultimate Security aliyepambana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) jijini Dar es Salaam, amefukuzwa kazi na muajiri wake huyo.
Mnaku alijikuta kwenye mpambano mkali na waziri huyo baada ya kumtaka asogee pembeni ya mashine hiyo ya Standard Chartered ili kupisha wateja wengine baada ya Ngeleja kuonekana akitumia muda mwingi kuongea na simu akiwa ndani ya chumba cha mashine hiyo.
Kwa mujibu wa habari tulizozipata kutoka Ultimate na kuthibitishwa na Mnaku, uamuzi wa kumfukuza kazi ulitolewa mara baada ya kikao cha nidhamu cha kampuni hiyo kilichofanyika jana kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi jioni kwenye ofisi za Ultimate.
"Ni kweli nimefukuzwa kazi na hivi ninavyoongea na wewe ndio nimetoka katika kikao cha nidhamu na uamuzi uliofikiwa ndio huo,"alisema mlinzi huyo ambaye hakutetereka wakati Waziri Ngeleja alipohoji kama anamfahamu ni nani wakati akitakiwa kutoka kwenye ATM.
"Na hii ni kutokana na kitendo changu cha kumtaka Waziri Ngeleja awapishe wateja wengine kwenye ATM," alilalamika Mnaku.
Jana jioni Mnaku aliliambia Mwananchi kuwa anatakiwa aende kuchukua barua yake ya kutimuliwa kazini Januari 30.
Hata hivyo, mara baada ya gazeti hili kuripoti sakata hilo, Ngeleja alikiri kutokea kwa mtafaruku huo na kujitetea kuwa Mnaku ndiye aliyekuwa chanzo cha mtafaruku huo uliotokea kwenye mashine ya fedha iliyo kwenye jengo la Harbour View (zamani JMall).
Mwananchi iliripoti kuwa waziri huyo alikaribia kuzichapa na mlinzi huyo kwenye baada ya kuombwa asogee pembeni kupisha wateja wengine.
20 Jan 2010
20.1.10
Evarist Chahali
NIGERIAN SCAMS
1 comment

WARNING AND INSTRUCTION FROM (FBI) !!
Tue, 19 January, 2010 4:38:12
| From: | ROBERT S. MUELLER Add to Contacts | |
| To: | |
THIS IS THE (F.B.I)
http://www.fbi.gov
ROBERT S. MUELLER
EXECUTIVE DIRECTOR FBI
Direct Line: 206-888-4277
Email: [email protected]
Federal Bureau of Investigation
J. Edgar Hoover Building
935 Pennsylvania Avenue,
NW Washington,
D.C. 20535-0001, USA
FEDERAL BUREAU OF INVESTIGATION SEEKING TO WIRETAP THE INTERNET
The Federal Bureau of Investigation (F.B.I) write to you in correspondence to the meeting we recently had with the Federal republic of Nigeria Government on the ERADICATION of SCAMS on the internet. Federal bureau of investigation (FBI) Washington, DC in conjunction with some other relevant Investigation Agencies like Internal Revenue Service here in the United states of America have recently been informed through our Global intelligence monitoring network that you presently have a transaction with the Central Bank of Nigeria (CBN) as regards to your over-due contract payment which was fully endorsed in your favor accordingly. After the meeting held on Friday 15th of Jan 2010 at the Bank Auditorium Center, the whole conflict of SCAMS was revealed to us by the Board of Trustee of Federal Republic of Nigeria mostly by the three arms of Government.
The Judiciary, the Legislature and the Executive).
These three arms of Government has made Us realize that the ramped of SCAMS over floating around the United State of America and some other part of the world was been set up by the root of some CBN Ex-Workers that have been suspended for sometimes due to their dubious characters of initiating people to impersonate the Government Workers to receive peoples hard earn money from them, mostly with the Executive Governor identity.
For these reasons, the New Central Bank Executive Governor was invited to this office to defend the allegation against Him. While he made complain that his office was not in charge of foreign transfer of funds, that the accredited office was Federal Ministry of Finance Department (FEDMINAP) in person of EXECUTIVE GOVERNOR: MR. LAMIDO AMINU SANUSI as the New appointed Accountant General in charge of all foreign transfer Payment files.
They also told us that the only problem they are facing right now is that some unscrupulous element are using this project as an avenue to scam innocent people off their hard earned money by impersonating the Executive Governor that is why the Federal Government has appoint EXECUTIVE GOVERNOR: MR. LAMIDO AMINU SANUSI as the Payment Director of the Central Bank office.
The Federal government of Nigeria has approved that all overdue outstanding payments must be paid on or before Monday 25th of Jan 2010, before the upcoming Local Government Electorates which might leads to recalling of funds back to the Bank Treasury. Meanwhile, we are also informed that a Man with an America passport number (3028882234) came to the Central Bank affiliated bank office in U.K few days ago with a letter, claiming to be your true representative.
Here are the man information below:
Name: Denis Marion
Bank Name: City Bank
Bank Address: Arizona, USA
Account Number: 6503809008.
INSTRUCTION/WARNING
FROM ROBERT S. MUELLER III.
NB: You are urgently advised to please reconfirm the below following information to the Office of the New Accountant General, as a matter of urgency if this Man is from you so that this office will not issue your fund and be held responsible, If this man isn't of your true representative, you are requested to contact for your inheritance claim valued of US$10,000,000.00M (Ten Million United State Dollars) only will be remitted into your nominated bank account or any other way you which to receive it.
1) Your full name..
2) Home, fax and mobile #.
3) Residential address.
4) Company name,
5)Company address.
6)Office position and
5) Age and marital status.
6) Working I'd / Int'l passport.
And should incase you are already dealing with anybody or office claiming to be From the Central Bank of Nigeria, you are further advised to STOP further Contact with in person from Africa in your best interest and as you already know that prof Soludo is no more the acting Gov of the (CBN) and then contact the real office of the New (GOV) of the Central Bank of Nigeria (CBN) only with the Below information's accordingly:
EXECUTIVE GOVERNOR: MR. LAMIDO AMINU SANUSI
OFFICE ADDRESS: Central Bank of Nigeria,
Central Business District,
Cadastral Zone,
Abuja, Federal Capital Territory,
Nigeria.
Direct Line: + 234 802-410-4101
Email:- [email protected]
IMPORTANT NOTICE.
Note: we are on investigation and security watch over any message with Central Bank, to benefit the satisfaction of all the United States Citizen by seeking to Wiretap scams on the internet with the help of Nigeria Government and also with The assistance of all United states Citizen, by listening to the instructions we give out to avoid falling for SCAMS on INTERNET.
All modalities has already been worked out even before you were contacted and note that we will be monitoring all your dealings with them as you proceed so You don't have anything to worry about.
All we require from you henceforth is an update so as to enable us be on track with you and the Central Bank of Nigeria. Without wasting much time, will want you to contact them immediately with the above email address so as to enable them attend to your case accordingly without any further delay as there is limit of validity on this transaction and further delay might make you lose this transaction as the rightful Beneficiary.
Should in case you need any more information's in regards to this Notification, be free to get back to us so that we can brief you more as we are here to guide you during and after this project has been completely perfected And you have received your contract fund as stated.
Thank you very much for your co-operation in advance as we earnestly await your urgent response to this matter.
Regards,
Robert S. Mueller,
Federal Bureau of Investigation
J. Edgar Hoover Building
935 Pennsylvania Avenue,
NW Washington,
D.C. 20535-0001, USA
Cell :- 206-666-2275
19 Jan 2010
19.1.10
Evarist Chahali
TANZANIA
No comments

15 Jan 2010
15.1.10
Evarist Chahali
OSAMA BIN LADEN, TERRORISM
1 comment

The US Government has released a new age-enhanced photograph of al-Qaeda leader Osama bin Laden as he may look now without his trademark long beard...MORE
5 Jan 2010

Naomba kuiwasilisha kama ilivyo
5.1.10
Evarist Chahali
CHADEMA, KAFULILA, ZITTO KABWE
No comments

ASEMA SIASA SI CHAGUO LAKE
Salim Said na Fidelis Butahe
"Unajua unaweza ukawa na maamuzi yaliyofanywa katika vikao halali, lakini yasikuridhishe, pia unaweza ukawa na maamuzi katika vikao hivyo hivyo yakakuridhisha. Lakini mimi sikuridhishwa na mamuzi ya kina Kafulila kuvuliwa nyadhifa zao."...INAENDELEA HAPA
4 Jan 2010

2 Jan 2010
31 Dec 2009
31.12.09
Evarist Chahali
HERI YA MWAKA MPYA
No comments
30 Dec 2009
30.12.09
Evarist Chahali
HAPPY NEW YEAR, MWANAHALISI
No comments

THE NATION
AND BEYOND
THE Publishers of
MwanaHALISI,
your enviable Kiswahili weekly
in
wish to convey to you, our
warmest Season Greetings
that bring with them
a New Year – 2010.
We have always done
our piece in Investigative
and Public Journalism;
we are now engaged in
marshalling more skills,
improving methods and
producing quality copy
for IMPACT.
We continue to rely
on your readership;
appreciation of our efforts
to produce a copy worthy
your money; attempt at becoming
a real people’s voice;
and your kind and material
support already rendered
and anticipated.
We pledge to do more
to your satisfaction.
Happy New Year!
Hali Halisi Publishers Limited, Tel/Fax 022 - 2760560
Cel: 0784 440 073/0777 773347
25 Dec 2009
25.12.09
Evarist Chahali
MERRY CHRISTMAS
No comments

There will always be bad,or even worse,Santas.Look at THIS,for example.
19 Dec 2009

17 Dec 2009

16 Dec 2009

14 Dec 2009


13 Dec 2009
DPP amvaa Dk Hoseah, ataka mdahalo majalada kesi za kifisadiMkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah ambaye jana alidai kuwa DPP amekalia kesi 60 tuhuma za rushwaJames MagaiKWANZA ilikuwa ni ndani ya chama tawala CCM, lakini malumbano baina ya vigogo sasa yamehamia serikalini baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Eliezer Feleshi kujibu mashambulizi ya mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, akitaka uitishwe mdahalo baina ya wawili hao ili ajibu tuhuma dhidi yake.Pendekezo hilo la Feleshi limekuja wakati malumbano baina ya viongozi wa CCM hayajapoa baada ya kutuhumiana kwa ufisadi na wivu wa nafasi mbalimbali zilizotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.Dk Hoseah, ambaye amekuwa akirusha makombora kwa taasisi tofauti, juzi alitoa tuhuma nzito alipokaririwa na gazeti moja akisema kuwa ameshawasilisha kesi zaidi ya 60 za tuhuma za rushwa kwa DPP na akashangaa sababu za mteule huyo mwenzake wa rais kukalia mafaili hayo badala ya kufungua kesi dhidi ya watuhumiwa.Lakini jana Feleshi alikuwa mbogo na akasema kuwa ili ukweli uwekwe bayana kuna haja ya kuandaa mdahalo baina yake na Hoseah.DPP Feleshi, akizungumza na gazeti dada la Mwananchi la The Citizen baada ya hafla ya mafunzo ya kamati ya kitaalamu ya mawakili wa serikali iliyofanyika Kunduchi jijini Dar es Salaam, alisema njia pekee ya kuweka sawa rekodi ni kuwepo kwa mdahalo huo wa wazi."Ninataka mdahalo na Hoseah katika masuala haya yanayoendelea hata kama utakuwa wa simu tena iwekwe ‘loud speaker (kipaza sauti)’ ili tujadili masuala haya na kumaliza kiu ya wananchi," aliweka msimamo DD Feleshi."Kama mtu anasema kuna majalada 60 ofisini kwangu, then (kisha) tunamuuliza yamefika lini? Yeye pia atajibu, kwa kufanya hivyo tutatoa mwanga mzuri kwa wananchi ambao ofisi hizi zipo kwa ajili yao tu."DPP Feleshi alisema anataka mdahalo huo ufanyike mbele ya waandishi wa habari ili jamii ijue masuala mbalimbali yanayoelekezwa ofisini kwake.Hoseah pia aliwahi kuirushia kombora mahakama akisema inaendesha taratibu kesi za ufisadi, hivyo kupunguza kasi ya taasisi hiyo kushughulikia watuhumiwa wa rushwa.Miongoni mwa kesi ambazo zilifunguliwa kwa wingi hivi karibuni na Takukuru ni pamoja na kesi zaidi ya 20 zinazohusu wizi kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), matumizi mabaya ya madaraka na uzembe na tuhuma za kula njama na kuisababishia hasara serikali.Hata hivyo, mwenendo wa kesi nyingi umekuwa wa kasi ndogo kutokana na upande wa mashtaka kutokamilisha ushahidi.Akizungumzia madai hayo ya Hoseah, Feleshi aliweka bayana kwamba hayajui majalada hayo na anachojua ni kwamba ofisini kwake kuna majalada ya kesi ambayo yanaingia na kutoka kila siku na anayashughulikia kwa mujibu wa sheria.Feleshi, ambaye aliwahi kurejesha Takukuru baadhi ya majalada kutokana na kuonekana udhaifu katika ushahidi, alimtaka Dk Hoseah kutoa ufafanuzi kwa kueleza ni majalada gani yanayokaliwa na ofisi yake na yamefika lini.Alifafanua kwamba ofisi yake haiwezi kukalia majalada kwa kuwa inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kwa maslahi ya umma na kusisitiza hayajui majalada hayo 60 anayodai Dk Hoseah kwamba yamekaliwa ofisini hapo."Hayo mafaili (majalada) ya vigogo mimi siyajui. Ninachojua ni kwamba tuna majalada yanaingia kila siku ya Watanzania wanaotuhumiwa. Tunapokea na kuyafanyia kazi... na hatubagui kuwa haya ni ya PCCB (Takukuru) , TRA( Mamlaka ya Mapato) au ya Polisi. Katiba ya nchi inatoa haki sawa kwa wote kufikishwa mbele ya sheria ili kupata haki," aliongeza DPP."Tunafanya kazi kwa maslahi ya umma na tunaendesha shughuli zetu kisheria wala si kwa kuzingatia jambo lolote kwa kuwa hatuna maslahi yoyote kumshtaki mtu bila kuwa na ushahidi wala hatuna maslahi yoyote kumwachia mtu kama kuna ushahidi. Ndiyo maana nasema hakuna kukalia majalada."Feleshi, ambaye ana mamlaka ya kufunga au kufungua mashtaka kwa watuhumiwa, alisema katika hali hiyo ni vigumu kusema kuna majalada yana muda mrefu kwani hajui hayo yanayosemwa yaliingia lini ofisini kwake."Labda kama angekuwepo mwenyewe (Dk. Hoseah) angeeleza zaidi hayo majalada anayodai tumeyakalia. Ni vema mkamuuliza hilo," alisema.
5 Dec 2009
5.12.09
Evarist Chahali
ROSTAM AZIZ, UFISADI
No comments